Anne Kansiime Afunguka Baada ya Taarifa kusambaa Kuwa Amekamatwa na Dawa za Kulevya. | BONGOJAMII

Anne Kansiime Afunguka Baada ya Taarifa kusambaa Kuwa Amekamatwa na Dawa za Kulevya.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mchekeshaji wa Uganda, Anne Kansiime amekanusha taarifa zilizoenea mtandaoni kuwa amekamatwa na dawa za kulevya London, Uingereza.

Habari hizi zilidai kuwa amekamatwa na kilo 2 za dawa aina ya cocaine.

“And about the online story going around that this your ninja girl is currently detained in some prison cell in London for being in possession of 2kgs of Cocain at Heathrow airport….. heheheheheheh this world is not my home indeed!? Thank you my ninjas for being the first to doubt such stories and Let’s spread more love to eachother my ninjas. Trust me, they are #sharedblessings,” ameandika Instagram.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts