HUMFREY POLEPOLE AWEKA WAZI JUU YA HALI YA KATIBU MKUU WA CCM , KINANA | BONGOJAMII

HUMFREY POLEPOLE AWEKA WAZI JUU YA HALI YA KATIBU MKUU WA CCM , KINANA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Humphery Polepole jana amefunguka na kuweka wazi juu ya hali ya Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana na kusema kuwa kiongozi huyo kwa sasa hayupo nchini. 


Humphery Polepole akiongea na waandisha wa habari jana Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba amedai kuwa Katibu Mkuu wa CCM amekwenda nje kwa matibabu 


"Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana yuko nje ya nchi kwa matibabu na kuangalia Afya yake na anaendelea vyema"- Alisisitiza Humphery Polepole 


Mbali na hilo Polepole amedai kuwa CCM ni chama cha mfano kwa kurithisha maarifa kutoka kwa wazee na kuwafikishia vijana na kujenga msingi wa kuwa viongozi bora.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts