TANZIA: MWANDISHI MAHIRI WA HABARI JOSEPHAT ISANGO AFARIKI DUNIA | BONGOJAMII

TANZIA: MWANDISHI MAHIRI WA HABARI JOSEPHAT ISANGO AFARIKI DUNIA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Taarifa za kustusha zimetufia asubuhi hii kuwa Mwandishi Kijana mahiri wa Habari hapa Nchini Jiosephat Isango kuwa amefariki dunia,
taarifa hizo zinasema kuwa Isango amefariki Dunia katika Hospital ya Puma mkoani Singida alipokuwa amelazwa kwa muda kidogo tangu alipokuwa akisumbuliwa.
taarifa hizi zimethibitishwa na nduguye wa karibu aitwaye Christopher aliyekuwa akimuuguza.
lala kwa amani Josephat Isango mchango wako wa kizalendo tutaukumbuka milele.



Nitakukumbuka Daima Isango, nathamini Mchango wako kwangu mungu akupunzishe kwa amani akupe raha za milele

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts