Ubuyu wa Moto Moto...Zari, Wema Kuigiza Kwenye Film Pamoja. | BONGOJAMII

Ubuyu wa Moto Moto...Zari, Wema Kuigiza Kwenye Film Pamoja.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Za chini kwa chini tunaambiwa kuna producer wa Filamu Bongo anataka kuwakutanisha Zari na Wema Sepetu katika movie moja matata na yupo tayari kuwapa mkwanja watakaohitaji kupitia sponsor but ugumu upo kwa mafahari hao wawili kukubali kuigiza pamoja
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts