BREAKING NEWS, MAHAKAMA YATENGUA HUKUMU YA MBUNGE WA CHADEMA YA KWENDA JELA MIEZI SITA | BONGOJAMII

BREAKING NEWS, MAHAKAMA YATENGUA HUKUMU YA MBUNGE WA CHADEMA YA KWENDA JELA MIEZI SITA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mahakama kuu imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya wilaya ya Kilombero dhidi ya mbunge Peter Lijualikali(CHADEMA).
- Lijualikali alihukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini kwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi 2015.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts