BREAKING NEWS==>>TUMBUA TUMBUA YAANZA CCM, SOPHIA SIMBA AFUTWA UANACHAMA....NCHIMBI NA KIMBISA WAPEWA ONYO KALII | BONGOJAMII

BREAKING NEWS==>>TUMBUA TUMBUA YAANZA CCM, SOPHIA SIMBA AFUTWA UANACHAMA....NCHIMBI NA KIMBISA WAPEWA ONYO KALII

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Mwanachama Mkongwe wa CCM na Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumiya ya Wanawake Taifa UWT,Sophia Simba Amevulia Uanachama wa Chama na Kamati ya Maadili ya Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ,NEC,.


Aidha Balozi Emannuel Nchimbi na Adam Kimbisa Wamepewa Onyo Kali Juu ya Tabia na Mienendo yao Isiyoridhisha dhidi ya chama.


Taarifa Zaidi Zinakuja...
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts