KIMENUKAA DODOMA==>>DEREVA WA MBUNGE WA CHADEMA ANUSURIKA KUCHEZEA KICHAPO TOKA KWA MAKADA WA CCM | BONGOJAMII

KIMENUKAA DODOMA==>>DEREVA WA MBUNGE WA CHADEMA ANUSURIKA KUCHEZEA KICHAPO TOKA KWA MAKADA WA CCM

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mbunge wa Chadema Kunti Majala ameokolewa na Polisi Mara baada ya dereva wake kushushiwa kipigo na makada wa Chama Cha Mapinduzi ,Baada ya Kuendesha Gari Hilo Karibu na Makao Makuu ya CCM Dodoma.
N:B Jengo lipo karibu na barabara magari yanapopita kwahiyo mbunge alikuwa anapita barabarani

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts