GWAJIMA AZIDI KUMUANDAMA RC MAKONDA, ADAI ATAZUNGUMZA UKWELI MPAKA KIELEWEKE | BONGOJAMII

GWAJIMA AZIDI KUMUANDAMA RC MAKONDA, ADAI ATAZUNGUMZA UKWELI MPAKA KIELEWEKE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ataendelea kusema ukweli na hataogopa chochote.


“Nitaendelea kusema ukweli fitina kwangu mwiko” alisema hayo katika mahubiri yake ya jana kanisani kwake Ubungo.


Pamoja na mambo mengine, Askofu huyo, alisema Clouds Media ni rafiki zake kwa sababu wamewaeleza ukweli watanzania.


Alisema hata waislamu ni rafiki zake kwani ndiyo waliomlea baada ya kutelekezwa akiwa mdogo.


Wasanii maarufu wa redio ya EFM, Mkude Simba na Stanley walikuwa kanisani hapo jana huku Mchungaji Gwajima akiongoza misa kwa mada ya vipaji na vipawa.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts