HAPA KAZI TU, WAZIRI MPYA WA HABARI AANZA KWA KISHINDO..SAKATA LA MAKONDA KUVAMIA CLOUDS AANZA KWA KAULI HII NZITO | BONGOJAMII

HAPA KAZI TU, WAZIRI MPYA WA HABARI AANZA KWA KISHINDO..SAKATA LA MAKONDA KUVAMIA CLOUDS AANZA KWA KAULI HII NZITO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa.


"Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"-Waziri Mwakyembe

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts