HAYA APA MAJINA 12 YA WALIOTEULIWA NA CCM KUGOMBEA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI | BONGOJAMII

HAYA APA MAJINA 12 YA WALIOTEULIWA NA CCM KUGOMBEA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
CCM imepeleka bungeNI majina ya wagombea 12 wa ubunge wa EALA. Wabunge watapiga kura kuchagua wabunge 6 ambapo 3 ni wanaume na 3 wanawake.




Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Polepole akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es salaam ameeleza kuwa mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa EALA Kamati Kuu imezingatia Uadilifu, Uaminifu, Uzalendo, Uchapakazi, Maarifa ya mgombea na kuiishi Imani ya mwanachama wa CCM
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts