Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Alex Lwambano
Huyu ndo mtangazaji wa Clouds anayeitwa Alex Lwambano aliyesimamishwa kazi baada ya kutangaza habari za kumsifia RC Makonda kuhusu ujenzi wa kiwanja cha bandari utakao tumika kwa ajili ya Ndondo Cup.
Maneno haya ndiyo yaliyomponza
*uwanja huu ni juhudi kubwa za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda*
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka