KAJALA MASANJA AFUNGUKA MAZITO SAKATA LA MAKONDA , HII NDIO KAULI YAKE | BONGOJAMII

KAJALA MASANJA AFUNGUKA MAZITO SAKATA LA MAKONDA , HII NDIO KAULI YAKE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
MASTAA wengi Bongo wamekuwa wagumu kuzungumza chochote kuhusu yanayomkuta Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, mmoja wao akiwa ni Kajala Masanja ambapo yeye alipoulizwa alisema, aachwe kwani mambo ya kiongozi huyo hayamhusu.


Staa huyo aliyewahi kupata ushirikiano mkubwa katika shughuli zake za kisanii kutoka kwa Makonda alipotakiwa kuzungumzia mapito ya kiongozi huyo na kipi angeweza kumshauri alijibu kwa kifupi:


”Hayanihusu jamani.”


Ijumaa: Hayakuhusu vipi wakati alikuwa swahiba wako na amekupa sana sapoti kisanii?


Kajala: Akuuu!

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts