KAZI INAENDELEA....RAIS MAGUFULI AMPANGIA KAZI NYINGINE KAMISHNA WA TRA | BONGOJAMII

KAZI INAENDELEA....RAIS MAGUFULI AMPANGIA KAZI NYINGINE KAMISHNA WA TRA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 23 Machi, 2017 amemteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu.


Bw. Alphayo Kidata anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Peter Ilomo ambaye amestaafu.


Kabla ya uteuzi huo Bw. Alphayo Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na nafasi hiyo itajazwa baadaye.


Uteuzi wa Bw. Alphayo Kidata unaanza mara moja na ataapishwa leo tarehe 24 Machi, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts