VIDEO, NAPE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA MKUTANO WAKE KUZUILIWA NA KUTISHIWA BUNDUKI | BONGOJAMII

VIDEO, NAPE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA MKUTANO WAKE KUZUILIWA NA KUTISHIWA BUNDUKI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kutoka Ikulu kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa.

Hali hiyo imetokana na Jeshi la Polisi kuuzuia mkutano huo ambapo RPC Kinondoni alifunga barabara kwa gari huku Nape akitishwa kwa Bunduki.

==>Msikilize hapo chini akiongea


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts