MEYA WA UBUNGO AINGILIA KATI SAKATA LA VYETI FEKI, ADAI ATAFUNGUA KESI DHIDI YA MAKONDA | BONGOJAMII

MEYA WA UBUNGO AINGILIA KATI SAKATA LA VYETI FEKI, ADAI ATAFUNGUA KESI DHIDI YA MAKONDA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mayor wa Ubungo Mh. Borniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi huyo wa mkoa. Kesi hiyo inatarajiwa kufunguliwa jumatato ijayo ya tar 20/03/2017.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts