MANENO YA VANESSA MDEE MARA TU BAADA YA KUACHIWA NA POLISI | BONGOJAMII

MANENO YA VANESSA MDEE MARA TU BAADA YA KUACHIWA NA POLISI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Vanessa Mdee amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atoke rumande Jumatatu hii baada ya kushikililiwa na polisi jijini Dar es Salaam kuanza Jumatano ya wiki iliyopita.


Muimbaji huyo wa Cash Madame amewashukuru wote waliompa pole wakati alipokuwa ameshikiliwa na kudai kuwa ataachia wimbo mpya wiki hii.


“I love you all sooo much 😚,” ameandika kwenye Twitter.


“It is by his Grace alone 💜 Utukufu kwa Mungu wetu wa miujiza.
Thankyou for your kind tweets and posts. I got a glimpse of some of them and this kinda loooooove 😍,” ameongeza.


“AND incase you were wondering. I am doing so fine. Infact new music out THIS WEEK 😙.”

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts