Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mwanasiasa kutoka chama cha ACT wazalendo anaonekana kushangazwa na Magufuli alivyomkingia kifua Makonda mkuu wa mkoa wa Dar na amehoji kuna nini hadi Magufuli asimuengue Makonda?
Amesema Magufuli amekuwa akitengua watu madarakani haraka hata kwa makosa ambayo yanakuwa hayahitaji mtu kuenguliwa lakini kwa hili la Makonda Magufuli amekuwa akimng'ang'ania kitu amabacho kina zua maswali mengi kwa wadau wengi
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka