RUGE AMJIBU MAGUFULI, HATUJAKUPANGIA UMTUMBUE MAKONDA ILA ANATAKIWA AOMBE RADHI | BONGOJAMII

RUGE AMJIBU MAGUFULI, HATUJAKUPANGIA UMTUMBUE MAKONDA ILA ANATAKIWA AOMBE RADHI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba amejibu kauli ya Magufuli kuwa hapangiwi kumuwajibisha mtu; Ruge amesema hawajampangia kumuwajibisha Makonda ila alichofanya sio sahihi na anatakiwa aombe radhi.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts