HAKIKA HARMORAMA NI HATARII, AMGANDA MZUNGU ESCAPE ONE | BONGOJAMII

HAKIKA HARMORAMA NI HATARII, AMGANDA MZUNGU ESCAPE ONE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumganda mzungu wa kampuni ya kinywaji cha Swala baada ya kusambaa kwa taarifa za kupewa dili nono na kampuni inayozalisha kinywaji cha Swala.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Hamorapa, imeweka Ujumbe akijinadi kwa mashabiki wake kuwa yupo na mzungu wake bosi wa kijanywaji hicho.

Aidha kwa sasa mashabiki wanamshauri Hamorapa kufanya kazi nzuri za sanaa na kuachana na kiki zisizo na kichwa wala miguu.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts