HALIMA MDEE AFUNGUKA BAADA YA GWAJIMA KUMTAKA AMUOMBE MSAMAHA SPIKA WA BUNGE | BONGOJAMII

HALIMA MDEE AFUNGUKA BAADA YA GWAJIMA KUMTAKA AMUOMBE MSAMAHA SPIKA WA BUNGE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima jana alijitokeza hadharani mbele ya waumini wa kanisa lake na kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana. Gwajima alisema, kama hatafanya hivyo, basi ataitumia Jumapili Ijayo 'kumchapa' Hadharani


Kutokana na madai hayo, Halima Mdee amejitokeza hadharani na kumjibu Gwajima


"Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.


"Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO."

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts