Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Siri 5 za watu wenye afya njema
1. Wanapata muda wa kutosha wa kupumzika. (Kulala)
2. Wanakula chakula bora (diet)
3. Wanajua namna sahihi ya kukabili stress zao.
4. Wanafanya Mazoezi kwa ajili ya kujali afya zao.
5. Wanapata muda wa kutoka out na kupumzisha akili zao.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka