UMOJA WA ULAYA UMEIPATIA MSAADA WA BILLION 490 SERIKALI YA TANZANIA | BONGOJAMII

UMOJA WA ULAYA UMEIPATIA MSAADA WA BILLION 490 SERIKALI YA TANZANIA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imepokea msaada wa Sh490 bilioni kutoka Umoja wa Ulaya(EU), kwa ajili ya kufanikisha miradi ya kilimo, afya na viwanda.


Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Doto James amesema maelekezo ya msaada huo ni sehemu ya mpango wa pili wa maendeleo wa serikali.


“Wametoa euro 205 sawa na Sh486.9bilioni na watazitoa katika kipindi cha miaka minne kuanzia msimu huu wa bajeti, wanaanza kutoa Sh120bilioni,"alisema James wakati wa kusaini makubaliano ya upokeaji wa msaada huo.


"Serikali haipokei msaada bila utaratibu,kabla ya kuzipokea Kamati ya kitaifa ya madeni inautazama na kutoa ushauri kwa serikali."alisema
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts