UPDATE: WALIPO AKINA ROMA NA WENZAKE MDA HUU | BONGOJAMII

UPDATE: WALIPO AKINA ROMA NA WENZAKE MDA HUU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kwa mujibu wa mtandao wa cloudstv.

"Tulijaribu kuingia ndani kufahamu yanayoendelea. Hata hivyo walinzi wa Hospitali wametuamrisha kurudi nyuma.

Kulingana na yaliyotokea ni rahisi kuhisi kwamba washkaji zetu wameletwa hapa ili kupata vipimo vya kiafya (kubaini iwapo walidhuriwa au hapana).

Tumechagua kuvuta subra hadi hapo mamlaka zitakapotoa taarifa za uhakika."

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts