WAKENYE 27 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BARABARANI | BONGOJAMII

WAKENYE 27 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BARABARANI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Watu 27 wameripotiwa kufariki katika ajali iliotokea Jumanne baada ya basi na lori kugongana.

Ajali hiyo imetokea katika barabara inayounganisha jiji la Nairobi na Mombasa.

Chanzo cha habari cha Polisi ya usalama barabarani kimefahamisha kuwa lori lililosababisha ajali hiyo lilikuwa katika upande usiokuwa wake na kusababisha ajali.

Kila mwaka nchini Kenya watu zaidi ya 3 000 hupoteza maisha katika ajali za barabarani.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts