Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya kuripotiwa kuuawa Kwa Askari Polisi 8, Mrembo Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu
"Alafu tukishawaua wanaotulinda sisi then sisi tutalindwa na nani...??? ... Hakika Nchi hii inaendelea kwenda tusipopajua kila siku.... #SemaUkweli #PendaNchiYako #TeamTanzania .... Please repost...ππΌππΌππΌ"
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka