BARCELONA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MFALME | BONGOJAMII

BARCELONA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MFALME

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Wachezaji wa Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja na Kombe lao la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey baada ya kukabidhiwa usiku wa jana kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Mabao ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya 30, Neymar dakika ya 45 na Paco Alcecer dakika ya 45, wakati la Alaves lilifungwa na Theo Hernandez dakika ya 33

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts