BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AMTAKA WAZIRI PROF MHONGO AACHIE NGAZI | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AMTAKA WAZIRI PROF MHONGO AACHIE NGAZI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Rais wa John Magufuli amtaka Waziri wa Nishati na Madini, Professa Sospiter Muhongo achie nafasi yake.

"Ninampenda sana Professa Muhongo, lakini pia ni rafiki yangu, lakini kwenye hili naomba kajifikirie na haraka sana uachie ngazi"

Rais Magufuli amesema hayo leo alipopokea taarifa ya kamati 

Niwakati wa makabidhiano ya Ripoti ya Kamati Maalum iliyochunguza Mchanga wa Madini kwa Rais Magufuli.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts