KAULI 5 MUHIMU ZA RAIS MAGUFULI LEO | BONGOJAMII

KAULI 5 MUHIMU ZA RAIS MAGUFULI LEO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD



"Walifikiri ni wasomi sana, Sasa wasomi wenzao wame Wa-Proove Wrong" JPM 



"Walifanya hivyo, Kwa makusudi, Au kwa kutokujua ama hawajui Professional yao"- JPM



"Nilipoomba Dakika 5, Mimi niliondoka na wenzangu kuteta kidogo, kwamba ripoti hii haiwezi kupita hivi hivi, lazima tufanye kitu wakati tukisubiri ripoti nyingine"- JPM



"Nimeivunja bodi ya TMAA, na ninaagiza vyombo vya dola na Takukuru muwafuatilie muwafikishe kwenye mkono wa sheria"- JPM



"Ninampenda sana Profesa Muhongo, lakini pia ni rafiki yangu, lakini kwenye hili naomba kajifikirie na haraka sana uachie ngazi"


Niwakati wa makabidhiano ya Ripoti ya Kamati Maalum iliyochunguza Mchanga wa Madini kwa Rais Magufuli leo Mei 24

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts