RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVEN WATIA SAINI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA | BONGOJAMII

RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVEN WATIA SAINI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Rais John Magufuli na Rais Yoweri Museveni wamesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Ohima, Uganda hadi Tanga.

Akizungumza leo Ikulu wakati wa utiaji saini mkataba huo, Magufuli amesema walikuwepo matapeli wengi wakati wa mchakato wa ujenzi wa bomba hilo na kuwa anafurahia zaidi kuingia mkataba huo na Uganda.

“Nina furaha sana, najua Museveni anaijua Tanzania, anajua vichochoro vyote vya Ikulu na yeye ni zao la Mwalimu Nyerere,” amesema


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts