TAARIFA MPYA INAYOMHUSU MAREHEMU IVAN MUME WA ZARI | BONGOJAMII

TAARIFA MPYA INAYOMHUSU MAREHEMU IVAN MUME WA ZARI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
IVAN SEMWANGA, aliyekuwa mume wa Zarina Hassan ‘The Bosslady’ ambaye sasa ni mpenzi na mzazi mwenzake wa mwanamuziki wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnum’, atazikwa Jumanne (Mei 30) wiki ijayo nyumbani kwao Kayunga, Uganda.


Mwili wa mwananchi huyo wa Uganda aliyefariki nchini Afrika Kusini kutokana na matatizo ya moyo, umewasili leo nchini Uganda ambako leo utafanyiwa mkesha maalum na Jumatatu kufanyiwa ibada maalum ya wafu katika Kanisa la Namirembe siku ya Jumatatu.


Semwanga alijipatia umaarufu mkubwa tangu nchini mwake Uganda hadi Afrika Kusini ambako ameacha utajiri mkubwa uliomfanya kuwa mmoja ya watu matajiri nchini humo kabla ya kufikwa na mauti.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts