UJUMBE WA NAPE KWA RAIS MAGUFULI | BONGOJAMII

UJUMBE WA NAPE KWA RAIS MAGUFULI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Mbunge wa Mtama mapema leo hii baada ya Rais John Magufuli kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospita Muhongo kutokana na wizara yake kutowajibika na kashafa ya Makontena ya Mchanga wa w Dhahabu.
Rais Magufuli amepokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa Kontena za mchanga wa Dhahabu.
Nape Mnauye amemsifu kitendo cha Rais 
Magufuli kuwawajibishwa watendaji wa serikali na kumpongeza kwa kitendo hicho



Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts