WABUNGE WAKUBALIANA KUTOA POSHO ZAO ZA LEO KAMA RAMBIRAMBI KWENYE MSIBA MZITO WA WANAFUNZI 32 , WALIMU 2 NA DEREVA 1 | BONGOJAMII

WABUNGE WAKUBALIANA KUTOA POSHO ZAO ZA LEO KAMA RAMBIRAMBI KWENYE MSIBA MZITO WA WANAFUNZI 32 , WALIMU 2 NA DEREVA 1

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wakiwa bungeni wamekubaliana kwa kauli moja kuwa posho za kila mbunge kwa siku ya leo zipelekwe kwa wazazi wa wanafunzi waliofariki kwa ajali ya basi la Shule ya awali na Msingi ya Lucky Vincent


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji mbalimbali kuaga miili 35 ya marehemu katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.


Mbali na Makamu wa Rais pia viongozi mbalimbali wa Serikali wamewasili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa ajali Arusha.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts