JINAMIZI LA KESI LAZIDI WATAFUNA CHADEMA , HALIMA MDEE AFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU | BONGOJAMII

JINAMIZI LA KESI LAZIDI WATAFUNA CHADEMA , HALIMA MDEE AFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amefikishwa katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Kisutu leo asubuhi akisubiri kesi yake.


Mdee, alikamatwa na Polisi siku sita zilizopita kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kwa madai ya kumkashifu Rais John Magufuli.


Hapi aliagiza Mdee akamatwe na kuwekwa ndani kwa saa 48 kwa makosa hayo pamoja na ya uchochezi.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts