JPM AMTEUA JENERALI WA JESHI KUWA NAIBU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU | BONGOJAMII

JPM AMTEUA JENERALI WA JESHI KUWA NAIBU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts