TUNDU LISSU ANYIMWA DHAMANA | BONGOJAMII

TUNDU LISSU ANYIMWA DHAMANA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mwanasheria wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amenyimwa dhamana baada ya kukamatwa leo kwa tuhuma za kumkashifu Rais John Magufuli na uchochezi.

Akizungumza na Mwananchi leo mwanasheria wake Faraji Mangula amesema kwamba kesho Lissu atapandishwa mahakamani.

Amesema Polisi wamedai kwamba amemkashifu Rais a wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Protea.

‘’Polisi wamemnyima dhamana wamesema wanafanya utaratibu wakumfikisha mahakamani’’amesema.

Mwananchi:

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts