VERA SIDIKA AIBIWA ACCOUNT YA INSTAGRAM | BONGOJAMII

VERA SIDIKA AIBIWA ACCOUNT YA INSTAGRAM

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
 
Mwanadada Vera Sidiki amelazimika kufungua akaunti mpya ya mtandao wa kijamii ya Instagram baada ya akaunti yake ya mwanzo kudukuliwa.

Akaunti ya awali ilikuwa na zaidi ya watu 690k wakimfuatilia ila sasa akaunti mpya aliyofungua ina watu 13.9 k wanaomfuatilia.

Tabia ya kudukuliwa kwa akaunti maarufu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, huku wengine walishindwa kuzirudisha na kulazimika kufungua akaunti mpya.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts