YANGA NAYO YATUA DAR KUICHAKAZA SIMBA | BONGOJAMII

YANGA NAYO YATUA DAR KUICHAKAZA SIMBA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kikosi cha Yanga kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Simba.

Mechi hiyo ya Ngao ya Jamii inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini.

Yanga ilikuwa kambini mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo na msimu mpya wa 2017-18.

Hata hivyo, Yanga wamekuwa wakifanya siri sehemu waliyofikia kwa ajili ya kambi ya mwisho kwa ajili ya mechi hiyo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts