BREAKING NEWS: MAHAKAKAMA YA KISUTU YAMUACHIA HURU YUSUPH MANJI | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: MAHAKAKAMA YA KISUTU YAMUACHIA HURU YUSUPH MANJI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mkurugenzi Mkuu Mashtaka (DPP) kuwasilisha hati akionyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts