KISUTU: Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amefutiwa
kesi ya kushindwa kutunza silaha baada ya mahakama kushindwa
kuthibitisha mashtaka hayo, na kuamuru arudishiwe mkoba wenye silaha
yake
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka