VIDEO: CHADEMA WATANGAZA MAOMBI YA KUMUOMBEA LISSU JUMAPILI HII | BONGOJAMII

VIDEO: CHADEMA WATANGAZA MAOMBI YA KUMUOMBEA LISSU JUMAPILI HII

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA taifa (BAVICHA), Patrick ole Sosopi amefunguka na kusema wao kama chama wameamua kuwakutanisha wanachama wao mbalimbali wa imani tofauti kwa ajili ya kufanya maombezi ya kitaifa kumuombea Mbunge Lissu Jumapili ya tarehe 17 Sept 2017.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts