DIAMOND Alamba Mamilioni ya CAF, Kutumbuiza Uzinduzi wa AFCON 2017 | BONGOJAMII

DIAMOND Alamba Mamilioni ya CAF, Kutumbuiza Uzinduzi wa AFCON 2017

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017

Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017

Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza k
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts