HAYA SASA=>>Baada ya Harmorapa, Sasa Aibuka Chiburapa,Anafanana Kila Kitu na Diamond.. | BONGOJAMII

HAYA SASA=>>Baada ya Harmorapa, Sasa Aibuka Chiburapa,Anafanana Kila Kitu na Diamond..

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD



MWEZI Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) aitwaye Harmonize kiasi mashabiki walimbatiza jina la ‘Pacha wa Harmonize’ au Harmorapa. Mwanzoni mwa wiki hii ameibuka msanii mwingine anayefanana na Diamond Platnumz naye kupewa jina la Chibu Rapa.


Katika mitandao ya kijamii msanii kutoka WCB ‘Harmonize ‘ alimuanika na baadae kumtoa kijana huyo aliyefanana na Diamond huku mashabiki wakifunguka kwa kuachangia hoja na wengi walikubaliana na Harmonize kuwa ni kweli kijana huyo amefanana kwa muonekano na na Diamond Platnumz.

Aidha bado haijafahamika kama kijana huyo naye anafanya sanaa ya muziki au laa.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts