Video==>>Harmonize Amlilia Wolper Kupitia ‘Ibaki Stori’ ya Rich Mavoko | BONGOJAMII

Video==>>Harmonize Amlilia Wolper Kupitia ‘Ibaki Stori’ ya Rich Mavoko

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Mapenzi ni kidonda ukiwaza utakonda. Harmonize ameonyesha bado anamhitaji Jacquline Wolper kwenye himaya ya moyo wake baada ya kupigwa kibuti.


Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa wawili hao wamemwagana tena huku Wolper akipigilia msumari kuwa jambo hilo ni ukweli mtupu japo Harmo alikuwa akilificha, sasa muimbaji huyo ameanza kuonyesha kuwa jambo hilo ni kweli.


Harmonize ameonekana katika kipande cha video alichokiweka Wolper katika mtandao wake wa Instagram akimuimbia mpenzi wake huyo wa zamani wimbo wa ‘Ibaki Stori’ wa Rich Mavoko kama njia ya kumshawishi mrembo huyo asahau yaliyopita.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts