HATIMAYE DIAMOND PLATNUM AONYESHA SURA YA MTOTO WAKE WA PILI | BONGOJAMII

HATIMAYE DIAMOND PLATNUM AONYESHA SURA YA MTOTO WAKE WA PILI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Mashabiki wengi wa Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz walikua wanasubiria hii siku Diamond apost picha ya mtoto wake wa pili aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliepata nafasi ya kuona sura yake.

Wengi walikua wanasubiria kumuona wajue kama kafanana na Baba au mama? sasa picha zenyewe ndio hizi na ukishamaliza kuzitazama usiache kuniandikia mfanano ukoje






Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts