Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
![](https://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/02/Screen-Shot-2017-02-11-at-3.50.59-PM.png?resize=660%2C400)
Ni siku 3 toka mwimbaji wa bongofleva T.I.D aachiwe kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya ambalo lilianzia kwenye orodha aliyoitaja mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Leo February 11 2017 Mkuu huyo wa mkoa amemuita T.I.D nyumbani kwake Masaki na kufanya nae mazungumzo ikiwa ni siku mbili zimepita toka Makonda amsifie T.I.D kwa kukiri kuwa tayari kusaidiwa kuachana na dawa za kulevya.
Baada ya kufanya mazungumzo na T.ID Paul Makonda alisema “Mungu wetu hajalala na siku zote anampenda amtafutae, karibu tena nyumbani T.I.D”
![](https://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/02/Screen-Shot-2017-02-11-at-3.52.36-PM.png?resize=620%2C406)
Paul Makonda na T.I.D wakizungumzia jambo kutoka kwenye simu ya T.I.D
![](https://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/02/Screen-Shot-2017-02-11-at-4.02.40-PM.png?resize=619%2C397)
source| millard ayo
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka