Je wajuaaaa==>>Unene Kupita Kiasi Chanzo cha Ugonjwa wa Kansa. | BONGOJAMII

Je wajuaaaa==>>Unene Kupita Kiasi Chanzo cha Ugonjwa wa Kansa.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


WANASAYANSI wa Uingereza wanasema wamethibitisha kuwepo kwa uhusiano mkubwa kati ya kunenepa na aina 11 za saratani.


Watafiti wamebaini unene unasababisha saratani kadhaa ikiwemo saratani ya tumbo, ini, matiti, utumbo na mfuko wa kizazi.


Watafiti hao kutoka Chuo Kikuu cha Imperial jijini London, wanasema, mbali ya kuepuka uvutaji sigara, kutunza uzani unaozingatia afya bora, ni njia muhimu inayopunguza uwezekano wa kuugua saratani.


Shirika la afya duniani linasema asilimia 40 ya watu wazima kote duniani ni wanene.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts