BREAKING NEWS==>Harmorapa Aachia Wimbo Kiboko ya Mabishoo ft Juma Nature, Amchana Mose Iyobo na Wengine. | BONGOJAMII

BREAKING NEWS==>Harmorapa Aachia Wimbo Kiboko ya Mabishoo ft Juma Nature, Amchana Mose Iyobo na Wengine.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Msanii wa muziki Harmorapa ameachia wimbo wake mpya Kiboko ya Mabishoo akiwa amemshirikisha Juma Nature. Wimbo umeandaliwa na producer T Touchez.


Katika kazi hiyo ambayo tayari imeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Harmorapa amewachana baadhi ya mastaa akiwemo dansa Mose Iyobo, na watu wengine ambao wamekuwa wakim-‘diss’ kuwa hajui muziki na kusema yeye hajali maneno yao machafu kwani yeye amekuja kutafuta pesa

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts