Video Ya Kuvunja Mbavu==>Stan Bakora Akimuigiza RC Makonda, Ataja List ya Wasanii 10 Waoishi na Wanawake Bila Kuoa. | BONGOJAMII

Video Ya Kuvunja Mbavu==>Stan Bakora Akimuigiza RC Makonda, Ataja List ya Wasanii 10 Waoishi na Wanawake Bila Kuoa.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa mabao yeye amewaita wahalifu.


Stan Bakora amewataka wasanii hao akutane nao ‘sentro’ kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts