MCHUNGAJI MSIGWA AMTUPIA RC MAKONDA KOMBORA ZITO, ADAI ANAYO YAFANYA NI UPUUZI WA HALI YA JUU | BONGOJAMII

MCHUNGAJI MSIGWA AMTUPIA RC MAKONDA KOMBORA ZITO, ADAI ANAYO YAFANYA NI UPUUZI WA HALI YA JUU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Hakuna vita yoyote ya kiroho wala kimwili ALIYOFANYA (BASHITE)Makonda BALI, ni Upuuzi wa kiwango cha juu in the real sense,


ANAJARIBU KUFANYA MAMBO YA TEMBO , KUMBE ANA ROHO YA SUNGURA, kulia haitasaidia , atubu kwa kuwasingizia watu UONGO!! Bashite you are still young , go get some leadership skills!,


TITTLE , AUTHORITY AND POWER is dangerous without leadership skills.


By Peter Msigwa
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts