MWAKYEMBE KUWAPATANISHA DIAMOND NA ALIKIBA | BONGOJAMII

MWAKYEMBE KUWAPATANISHA DIAMOND NA ALIKIBA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harisson Mwakyembe amepokelewa na wafanyakazi wa Wizara yake Mjini Dodoma huku akiahidi kuwaweka pamoja wasanii Diamond na Ally Kiba.


Pia amefurahishwa na matokeo ya Stars ndani ya wiki kutokana na kuzifunga Botswana na Burundi.


Pamoja na hayo, ameahidi kuliondoa neno kichwa cha mwendawazimu katika Soka.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts